Samawati Safari
Samawati Safari
June 18, 2025 at 08:49 PM
La Recta Provincia – Sio Hadithi Tu Hii ni simulizi ya taifa lisilo rasmi, lenye nguvu za giza, ambalo liliishi kati ya ukweli na hadithi. 🥤Ni onyo kwamba si kila kitu kinachoishi ndani ya historia kimekufa. Wapo waliokumbatia dini na wapo waliokumbatia mambo ya giza. La Recta Provincia bado ipo kwenye historia ya Chile, na huenda bado kinaendelea – kimya kimya, gizani, kwenye mapango ya visiwa vya kusini mwa Chile.La Recta Provincia – Sio Hadithi Tu Hii ni simulizi ya taifa lisilo rasmi, lenye nguvu za giza, ambalo liliishi kati ya ukweli na hadithi. 🥤Ni onyo kwamba si kila kitu kinachoishi ndani ya historia kimekufa. Wapo waliokumbatia dini na wapo waliokumbatia mambo ya giza. La Recta Provincia bado ipo kwenye historia ya Chile, na huenda bado kinaendelea – kimya kimya, gizani, kwenye mapango ya visiwa vya kusini mwa Chile.
Image from Samawati Safari: La Recta Provincia – Sio Hadithi Tu Hii ni simulizi ya taifa lisilo ra...
❤️ 1

Comments