Samawati Safari
Samawati Safari
June 19, 2025 at 08:52 PM
UCHAWI NYUMBA ZA KUPANGA – KISA CHA MAMA MWENYE NYUMBA ALIYEKUJA NDOTONI KUSHIRIKI TENDO LA NDOA 🥤Nimeamua kushiriki hadithi hii ili wengine wajifunze au angalau wawe macho. Kisa hiki ni cha kweli na kimetokea kwangu binafsi. Kila ninaloandika hapa ni kwa ushuhuda wa maisha yangu. Mwanzoni nilikuwa naota ndoto za ajabu—ndoto za kushiriki tendo la ndoa na mama mwenye nyumba. Nilikuwa naamka nikiwa na ushahidi kamili wa kilichotokea, na ndoto hizi zilijirudia sana, hasa mke wangu alipokuwa hayupo. Nilianza kujiuliza: inawezekanaje niote jambo na nilikutane na matokeo yake kimwili? Au ni uchovu tu? 🥤Ilikuwa mwaka 2006 nilipohitimu masomo yangu ya Electronics na kuanza kufanya kazi mtaani. Kufikia 2013 nilijipanga kurejea chuoni, ili kupata maarifa zaidi lakini ghafla afya yangu ilianza kuyumba vibaya. Nikaanza kupata matatizo ya kiafya yasiyoeleweka. Nilihangaika hospitali mbalimbali hadi kufika kwa daktari mmoja bingwa, ambaye baada ya vipimo vya awali alinishauri niende Agakhani Hospital kwa uchunguzi zaidi. 🥤Nikiwa Agakhani nilikutana na Dkt Salumu, ambaye baada ya kunifanyia vipimo aliniambia hanaona tatizo lolote. Nilirejea na majibu yale hospitali ya awali ambapo nilipewa dawa za mwezi mmoja. Baada ya kutumia hizo dawa, hali yangu ikaanza kuwa nzuri. Daktari aliniambia niendelee mwezi mwingine na baadaye nikapona kabisa Fungua uzi hadi mwisho.........🧵👇
👍 1

Comments