Samawati Safari
Samawati Safari
June 19, 2025 at 08:54 PM
🥤Tangu siku hiyo nilipoondoka kwenye ile nyumba, sijawahi kukumbwa tena na matatizo kama yale. Maisha yamekuwa mazuri, afya yangu iko sawa, na biashara zinaenda vizuri. Ninaamini kwa asilimia mia moja kuwa nilikuwa nimefungwa kishirikina na mwenye nyumba. Naamini pia kuna watu wengi wanaopitia haya kimya kimya. 🥤Wapo watu wanateseka kwa ndoto za ajabu, kuumwa kwa misuli bila sababu, au matatizo ya mashine yasiyo na majibu hospitalini. Wengine huishi kwenye nyumba za kupanga miaka mingi lakini hawajawahi kuinuka kimaisha. Mara nyingi, tatizo linaweza kuwa mahali wanapoishi. 🥤Ushauri wangu: Ukiona ndoto inajirudia mara kwa mara, usiipuuzie. Ukiona mtu fulani anakuzunguka na hali zako zinaanza kubadilika ghafla—kuwa makini. Na zaidi, usiishi sehemu kwa muda mrefu kama kila kitu kwako kinaishia pabaya bila sababu ya msingi
Image from Samawati Safari: 🥤Tangu siku hiyo nilipoondoka kwenye ile nyumba, sijawahi kukumbwa te...
👍 1

Comments