
Samawati Safari
June 20, 2025 at 09:06 PM
UCHAWI SHULENI:MPISHI WA SHULE ANAYETUMIA MKONO WA MTOTO KUPIKA CHAKULA CHA SHULE.
🥤Mwaka 2018 nilikuwa mwalimu wa muda katika shule moja iliyoko pembezoni mwa jiji Dar es Salaam. Shule hii ilikuwa ya watu wa kipato cha kati, lakini yenye sifa ya watoto wake kuwa na afya nzuri, nidhamu, na bidii.
🥤Siri kubwa ya mafanikio haya, wengi walidai, ilikuwa kwenye chakula. Mpishi wa shule, mama mmoja maarufu sana, alisifiwa kwa mapishi yake. Wazazi wa wanafunzi wachache waliokuwa wakiishi bweni walikuwa tayari kulipa ada ya chakula bila kulalamika. Chakula chake kilikuwa kitamu isivyoelezeka!
🥤Lakini kulikuwa na jambo la ajabu. Watoto waliokuwa wakihudhuria shule hiyo, walikuwa hawaishi kuitamani chakula hata wakiwa nyumbani. Wengine walitamani kutoroka likizo warudi shule – si kwa kusoma, bali kula chakula cha “anti zena ”, mpishi mkuu.
Fungua uzi hadi mwisho........ 🧵👇