
FOOTBALL ZONE ⚽🏈
June 20, 2025 at 06:37 PM
🗣️ _Florian Wirtz: “Nadhani kila mtu anajua kwamba wachezaji wa Liverpool ni kama punda – wana nguvu sana na wako fiti kimwili.”_
*“Lakini mimi naona hiyo kama fursa ya kunifanya niwe bora zaidi katika eneo hilo. Kwa hiyo, naamini kabisa hapa ndipo mahali sahihi kwa ajili yangu.”*
