DL Bookstore
DL Bookstore
June 19, 2025 at 06:43 PM
Katika dunia ya sasa inayokumbwa na changamoto nyingi za kiuchumi, ni muhimu kuwa na maarifa sahihi kuhusu fedha. Watu wengi wanapokea pesa kila mwezi lakini hawayajui matumizi bora ya kipato chao. Pakua vitabu hivi 7 hapa https://www.dlbookstore.com/blog/params/post/5033454/download-vitabu-7-vya-fedha-pdf Share na mwingine pia #dlbookstore #pendavitabu

Comments