
ᢰAKILI MNEMBA - 2024/25
June 13, 2025 at 01:20 PM
> NOTE :
- /Sasa una-weza kutumia Sora™ AI kuzalisha Video za sekunde 5 katika ukubwa wa (9:16) = TikTok, IG Reels, WhatsApp Status, YouTube Shorts na sehemu nyingine zinazo-pokea Video za Kusimama pia.
> CHA KUFANYA - 🔐
- Download bing™ Application kutoka Appstore au Playstore baada ya registration kwa kutumia Gmail yako Uta-enda kwenye Tab ya Mwisho kulia kisha Video Creator - ✓ . . .
•••
```Endapo uta-kwama sehemu, tafadhali usisite kunijuza hapa au inbox pia.```
👇🏾
> †AI4CHRISTIANS™
https://chat.whatsapp.com/JLStMu8IObS7zbtjcp9rIF
👣