Citizen Digital

Citizen Digital

671.2K subscribers

Verified Channel
Citizen Digital
Citizen Digital
June 19, 2025 at 03:33 PM
Je, kama jamii tunawezaje hakikisha afya ya akili ya wanaume inaimarika? Jiunge nasi Alhamisi hii kuanzia 8:00 usiku tutakapokuwa tukizungumza na kujadili na wataalam wetu zaidi Usikose! Q-tee Lady Njosh #radionumberone
Image from Citizen Digital: Je, kama jamii tunawezaje hakikisha afya ya akili ya wanaume inaimarik...
👍 😂 🙏 12

Comments