
Citizen Digital
June 20, 2025 at 11:29 AM
Mimi nilimuuliza wewe Kasongo... watu wa Meru walikuchagua, mbona umefuta Japheth Koome
kazi? Mbona unapanga njama ya kufuta Martha Koome? Nikimwambia mambo ya Meru, anasema mimi ni mkabila.
Former DP, Rigathi Gachagua

😂
👍
❤️
😢
65