
Creed AJIRA PORTAL
June 20, 2025 at 10:22 AM
habari yako
naomba unipostie nahitaji mtu anaejua nyama choma aina zote
anahitajika haraka sana leo leo tar 20/6
malazi hakuna, kwaio watu wa kigamboni wanapewa kipaumbele
mshahara 120,000-150,000 ufanyaji kazi wake
location ipo MAWENI KIGAMBONI, anaeomba awe msafi, anaejituma bila kutumwa, umri miaka 18+
0682360066 watume sms wasipige simu
ataje jina lake, umri, mahali anapotokea, na vitu anavyo fahamu kuandaa
NB:USAFI NI MUHIMU SANA
😂
👍
🙏
13