
Creed AJIRA PORTAL
June 20, 2025 at 07:34 PM
Creed Ajira Portal inawapongeza wote mlioitwa kazini leo kupitia Utumishi wa Umma. Hongereni kwa juhudi na uvumilivu wenu. 👏🏽
Kwa ambao bado hawajaona majina yao, msivunjike moyo—PDF bado zinaendelea kutoka, na wakati wa Mungu ni sahihi. ⏳🙏🏽
📩 Tunapokea ushuhuda inbox Furaha ziwalete mhamasishe na wengine wasikate tamaa
🙏
❤️
👍
😢
😂
74