TBS - Viwango
June 19, 2025 at 06:03 AM
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara, Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Sempeho Nyari, akizungumza wakati wa hafla ya kupokea vifaa vya maabara kutoka mradi wa QUALITAN mapema leo.
Vifaa hivyo vyenye thamani ya zaidi ya Euro Milioni 1.7 vimekabidhiwa rasmi leo na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ( EU).