
TBS - Viwango
June 20, 2025 at 06:21 PM
Mkurugenzi Mkuu (TBS) Dkt. Ashura Katunzi, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Tuzo ya Tuzo za Ubora Kitaifa 2025 uliofanyika mapema leo jijini Dar es Salaam.
Dkt. Katunzi amesema vipengele vya mashindano mwaka huu vimeongezwa kutoka vitano mpaka saba ili kuongeza wigo wa kushiriki zaidi na kuweka uwiano sawa wa kushindana kwa Taasisi binafsi na Taasisi za umma zinazofanya vizuri kwenye masuala ya ubora.
