
THE ISLAMIC FOUNDATION
June 10, 2025 at 11:58 AM
🕌 KONGAMANO LA KIDA’AWA AFRIKA MASHARIKI
🌍 Tukio la kipekee linalowakutanisha Masheikh wa Afrika Mashariki kwa ajili ya Da’awa, Elimu na Umoja!
📅 Tarehe: 27, 28 & 29 Juni 2025
📍 Mahali: Uwanja wa Mirongo, Mwanza – Tanzania
🎙 Masheikh wa Burundi watakaohutubia:
• Sheikh Ibrahim Harerimana
• Sheikh Abdu Jabbar Niyonkhuru
• Sheikh Bizimana Zuber
• Sheikh Ramadhan Ndayishimiye
🎯 Kaulimbiu: “Amani, Imani na Mshikamano”
🌐 Usikose kufuatilia moja kwa moja kupitia:
📺 Mainstream media: Africa TV, TV Imaan, Radio Imaan, Qiblatein fm
📱 Online media: Ihsaan, Al-Hajaar TV, Imaan Digital, Kishk Tv.
👉🏾 Fursa adhimu kwa Waislamu wote kuhudhuria, kujifunza, kuungana na kuimarisha Da’awa.
#kongamanolakida'awa2025 #mwanza #amaniimanimshikamano #tanzania #masharikimmoja

❤️
👍
5