THE ISLAMIC FOUNDATION
THE ISLAMIC FOUNDATION
June 14, 2025 at 08:27 AM
🕌 KONGAMANO LA KIDA’AWA AFRIKA MASHARIKI 🌍 Tukio la kipekee linalowakutanisha Masheikh wa Afrika Mashariki kwa ajili ya Da’awa, Elimu na Umoja! 📅 Tarehe: 27, 28 & 29 Juni 2025 📍 Mahali: Uwanja wa Mirongo, Mwanza – Tanzania 🎯 Kaulimbiu: “Amani, Imani na Mshikamano” 🌐 Usikose kufuatilia moja kwa moja kupitia: 📺 Mainstream media: Africa TV, TV Imaan, Radio Imaan, Qiblatein fm 📱 Online media: Ihsaan, Al-Hajaar TV, Imaan Digital, 👉🏾 Fursa adhimu kwa Waislamu wote kuhudhuria, kujifunza, kuungana na kuimarisha Da’awa. #kongamanolakida'awa2025 #mwanza #amaniimanimshikamano #tanzania #masharikimmoja
Image from THE ISLAMIC FOUNDATION : 🕌 KONGAMANO LA KIDA’AWA AFRIKA MASHARIKI  🌍 Tukio la kipekee linalow...

Comments