THE ISLAMIC FOUNDATION
THE ISLAMIC FOUNDATION
June 16, 2025 at 01:21 PM
🕌 *KONGAMANO LA KIDA’AWA AFRIKA MASHARIKI* 🌍 Tukio la kipekee linalowakutanisha Masheikh wa Afrika Mashariki kwa ajili ya Da’awa, Elimu na Umoja! 📅 Tarehe: 27, 28 & 29 Juni 2025 📍 Mahali: Uwanja wa Mirongo, Mwanza – Tanzania 🎯 Kaulimbiu: “Amani, Imani na Mshikamano” 🌐 Usikose kufuatilia moja kwa moja kupitia: 📺 Mainstream Media: Africa TV, TV Imaan, Radio Imaan, Qiblatein FM 📱 Online Media: Ihsaan, Al-Hajaar TV, Imaan Digital 👉🏾 Fursa adhimu kwa Waislamu wote kuhudhuria, kujifunza, kuungana na kuimarisha Da’awa. 📢 Njoo ujifunze, uelimike na ujiunge na wito wa kuleta mshikamano katika Uislamu barani Afrika! #kongamanolakidaawa2025 #mwanza #amaniimanimshikamano #tanzania #masharikimmoja

Comments