THE ISLAMIC FOUNDATION
THE ISLAMIC FOUNDATION
June 17, 2025 at 01:41 PM
🕌 *KONGAMANO LA KIDA’AWA AFRIKA MASHARIKI 2025* 📍 Uwanja wa Mirongo, Mwanza – Tanzania 🗓️ 27, 28 & 29 Juni 2025 🎯 Kauli mbiu: “Amani, Imani na Mshikamano” Nchi zote za Afrika Mashariki zikiwa pamoja katika kuimarisha Da’awa, mshikamano wa Kiislamu, na kujenga jamii yenye maadili. 🇹🇿 🇰🇪 🇺🇬 🇧🇮 🇷🇼 🎥 Kongamano hili kubwa litarushwa mubashara kupitia vyombo vya habari zaidi ya 20 – likiwemo Mahaasin TV, tvImaan, Africa TV, Ihsaan, Al-Haajar TV na vingine vingi. 💡 Huu ni mwaliko wa kila Muislamu — kijana, mzazi, mpenda amani. 👉 Usikose kuwa sehemu ya tukio hili la kihistoria. #kongamanolakidaawa #mwanza2025 #daawaafricamashariki #amaniimaninamshikamano #islamicunity #imaaandigital
Image from THE ISLAMIC FOUNDATION : 🕌 *KONGAMANO LA KIDA’AWA AFRIKA MASHARIKI 2025*  📍 Uwanja wa Mirongo...

Comments