THE ISLAMIC FOUNDATION
THE ISLAMIC FOUNDATION
June 17, 2025 at 05:39 PM
⏳ *Zimebaki siku 10 tu!* 🌟 KONGAMANO KUBWA LA KIDA’AWA AFRIKA MASHARIKI 📍 Uwanja wa Mirongo – Mwanza 🗓️ 27–29 Juni 2025 Masheikh mahiri kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki wakiongozwa na: 👤 Sheikh Salim Bafadhili 🇹🇿 👤 Sheikh Ally Bahero 🇰🇪 🎙️ Elimu, mawaidha na mengine Mengi vyote kwa pamoja katika siku 3 📡 Litafuatilia live kupitia: tvImaan, Africa TV, Ihsaan, Al-Haajar TV, Imaan Digital na mengine mengi. 👉 Usikose! Jiandae kushiriki na kufaidika. #kongamanolakidaawa #islamafrica #mwanza2025 #daawaeastafrica #zimebakisiku10
Image from THE ISLAMIC FOUNDATION : ⏳ *Zimebaki siku 10 tu!*  🌟 KONGAMANO KUBWA LA KIDA’AWA AFRIKA MASHAR...
❤️ 1

Comments