
THE ISLAMIC FOUNDATION
June 18, 2025 at 10:53 AM
🕌 *KONGAMANO LA KIDA’AWA AFRIKA MASHARIKI*
🌍 Tukio la kipekee linalowakutanisha Masheikh wa Afrika Mashariki kwa ajili ya Da’awa, Elimu na Umoja!
📅 Tarehe: 27, 28 & 29 Juni 2025
📍 Mahali: Uwanja wa Mirongo, Mwanza – Tanzania
🎯 Kaulimbiu: “Amani, Imani na Mshikamano”
🌐 Usikose kufuatilia moja kwa moja kupitia:
📺 Mainstream Media: Africa TV, TV Imaan, Radio Imaan, Qiblatein FM
📱 Online Media: Ihsaan, Al-Hajaar TV, Imaan Digital
👉🏾 Fursa adhimu kwa Waislamu wote kuhudhuria, kujifunza, kuungana na kuimarisha Da’awa.
📢 Njoo ujifunze, uelimike na ujiunge na wito wa kuleta mshikamano katika Uislamu barani Afrika!
#kongamanolakidaawa2025 #mwanza #amaniimanimshikamano #tanzania #masharikimmoja
❤️
🙏
3