
THE ISLAMIC FOUNDATION
June 19, 2025 at 03:05 PM
✨ *Karibu kwenye tukio kubwa la Kiislamu Afrika Mashariki!*
🌍 Kongamano la Kida’awa Afrika Mashariki 2025
🗓️ Tarehe: 27–29 Juni 2025
📌 Mahali: Uwanja wa Mirongo, Mwanza
🎤 Mgeni Rasmi: Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
🗣️ Kauli mbiu: “Amani, Imani na Mshikamano”
Tukutane Mwanza kwa ajili ya kujifunza, kuungana na kuimarisha da’awa katika ukanda wa Afrika Mashariki.
🤝 Umoja wetu ni nguvu, Imani yetu ni mwanga.
#kongamanolakidaawa #afrikamashariki #amaninaimani #mshikamano #mwanza2025 #daawaafrica
