THE ISLAMIC FOUNDATION
THE ISLAMIC FOUNDATION
June 19, 2025 at 07:54 PM
⏳ *Zimebaki siku 08 tu!* 🌟 KONGAMANO KUBWA LA KIDA’AWA AFRIKA MASHARIKI 📍 Uwanja wa Mirongo – Mwanza 🗓️ 27–29 Juni 2025 Masheikh mahiri kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki 🎙️ Elimu, mawaidha na mengine Mengi vyote kwa pamoja katika siku 3 📡 Litafuatilia live kupitia: tvImaan, Africa TV, Ihsaan, Al-Haajar TV, Imaan Digital na mengine mengi. 👉 Usikose! Jiandae kushiriki na kufaidika. #kongamanolakidaawa #islamafrica #mwanza2025 #daawaeastafrica #zimebakisiku08
Image from THE ISLAMIC FOUNDATION : ⏳ *Zimebaki siku 08 tu!*  🌟 KONGAMANO KUBWA LA KIDA’AWA AFRIKA MASHAR...

Comments