
THE ISLAMIC FOUNDATION
June 20, 2025 at 05:16 PM
⏳ *Zimebaki siku 07 tu!*
🌟 KONGAMANO KUBWA LA KIDA’AWA AFRIKA MASHARIKI
📍 Uwanja wa Mirongo – Mwanza
🗓️ 27–29 Juni 2025
Masheikh mahiri kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki
🎙️ Elimu, mawaidha na mengine Mengi vyote kwa pamoja katika siku 3
📡 Litafuatilia live kupitia: tvImaan, Africa TV, Ihsaan, Al-Haajar TV, Imaan Digital na mengine mengi.
👉 Usikose! Jiandae kushiriki na kufaidika.
#kongamanolakidaawa #islamafrica #mwanza2025 #daawaeastafrica #zimebakisiku07

❤️
1