Tory Lanez Wrld 📸
Tory Lanez Wrld 📸
June 20, 2025 at 11:06 PM
Kuna siku admin amepigiwa simu anaambiwa ndio hii bomaye inatoka 2M sahiii, iyo time nlikuwa Thika lakini bado fan wa bomaye ajab nikasema simiss hii entrance mimi uyo kwa lopha... Nikaingia taon... Stage ya umoo mgongo nlipata ndo nlipanda... Pressure imekuwa mingiii napigiwa simu wanauliza mzee uko wapi gari inatoka💔 naskia nitashuka hii dinga nikimbie😂saa iyo naona group wakituma mavida dinga kweli inatoka😂🤣i cant explain what i was feeling 😂💔 nlikuwa naskia nitachizi iyo dinga ikitoka kaa siko apo... Wakatoka 2m wakichachisha adi kwa shop ya Source... Mimi uyo mbio mbio adi shop ya source furaha ni mingiii nimewapata before iingie tao😂🔥tuko apo tunapiga mapicha tukisema vle tunaenda kuharibu taon na Bomaye 😂🔥wueh... Tukakaa, tukakaa, kidogo saa moja imefika kidogo saa mbili ndo iyo... Kidogo tunaona wanalock cockpit 💔alafu tunaambiwa gari haitoki leo💔ati haijamaliziwa, sema kuboeka💔 gaddemit sijawai boeka ivo💔 Nashangaa sasa nini ilinitoa kejani na vle i was jus chilling 😒💔Iyo ni heartbreak moja stima Bomaye ilinipea 💔sahi nipewe composition niandike the day i will never forget i sweya this will be one of the stories naeza andika... Dexter kwanza ilikuja apo kwa source ikipiga rwenyenye ingine stimaa siet ata niko na vida ya iyo day... Dexter ilikuwa dent removal sasa Gagula amekam ati ndo aendanishe na Bomaye tao😂💔akapata dinga haiendi sema Gagula kuboeka🤣🤣💔sisi wenyewe tumeboeka💔nikapiga Bomaye Kiss... Nikaiambia "I'll always love you" nikatoka nikaenda kwa nyumba💔
😂 🍑 🖕 😭 27

Comments