
Tory Lanez Wrld 📸
June 21, 2025 at 04:11 PM
Tuko apa kwa HH tunakula sandwich kwa wingi alafu gari imetoka nyuma yetu ikakam next to us ikawasha siren 🚨😭wueeeh karibu roho iwache kudunda juu ya kustuka😂kumbe ilikuwa ambulance 😂💔
😂
🤣
❤️
🍑
25