IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
May 30, 2025 at 04:18 AM
Hakikisha jina lako linaandikwa na mashahidi wa mbinguni — malaika wa Mola — kama miongoni mwa watoaji wa sadaka katika Ijumaa tukufu ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Dhul-Hijja. Usikose fursa hii adhimu ya kupata radhi za Allah na rehema zisizo na mipaka

Comments