
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
May 30, 2025 at 08:16 AM
Ushajiuliza lini umetoa kwa ajili ya Allah?
Sio kwa kujionesha, sio kwa kutafuta sifa, wala si kwa shukrani za watu — bali kwa ajili ya radhi ya Mola wako tu?
Toa leo kwa moyo wa ikhlasi, katika siku hizi kumi tukufu za Dhul-Hijja — ambazo Mtume (ﷺ) amesema:
"Hakuna siku ambazo matendo mema yanapendwa zaidi kwa Allah kuliko hizi siku kumi..."
(Hadith - Bukhari)
🌟 Usipitwe na fursa ya kubadilisha sadaka kuwa nuru yako Siku ya Kiyama.
Toa kwa ajili ya Allah — leo, sasa, kwa ikhlasi.
🙏
1