IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
May 30, 2025 at 02:37 PM
Khayrat Imani Group tunatoa shukrani za dhati kwa wanachama wote waliotoa mchango wao leo kwa kujinyima kwa ajili ya kuendeleza harakati za kundi letu. Hakika hatuna cha kuwalipa, ila tunamuomba Allah Awalipe kheri nyingi hapa duniani na malipo mema huko Akhera. Kwa wale ambao hawakuweza kuchangia kwa sasa, tunamuomba Allah Awape fursa na uwezo katika wakati mwengine. Hadi sasa, tumepokea mbuzi watatu kwa ajili ya shughuli yetu. Tutaendelea kusukuma gurudumu hili kwa juhudi na dua zetu hadi tufikie lengo la mbuzi watano au hata kumi kwa uwezo na rehema za Allah.
🙏 ❤️ 3

Comments