IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
May 30, 2025 at 05:28 PM
Usiwe na tabia ya kutamani au kutaka kile ambacho mwenzako amejaaliwa nacho, bali ridhika na riziki yako na uamini kuwa kila mmoja huandikiwa chake kwa wakati wake
❤️ 👍 🙏 8

Comments