IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 4, 2025 at 03:41 PM
AMIN AMIN AMIN "Tunamuomba Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, atujaalie neema na fadhila Zake ili siku moja tuwe miongoni mwa wale watakaopata heshima ya kuzuru Nyumba Yake Tukufu, tukitekeleza ibada ya Hija kwa ikhlasi na ridhaa Yake."
🙏 ❤️ 3

Comments