IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 5, 2025 at 01:59 AM
Assalam alaykum warahmatuAllah wabarakat. "Tunaponyanyua mikono yetu kwa dua katika masiku haya kumi yenye baraka, na tuombeane sisi kwa sisi pamoja na Waislamu wote duniani. Tunamwomba Allah atujaalie msamaha Wake, rehma Zake, na aturuzuku Pepo Yake tukufu. Ewe Mola wetu, tuwepesishie hali zetu. Mpe faraja kila mwenye maradhi, matatizo, shida na dhiki. Wale waliotutangulia katika maisha haya, waangazie makaburi yao kwa nuru Yako, uwalinde na adhabu ya kaburi. Na sisi tuliobakia, utujaalie khusnul khatima wakati wa mauti yetu. Aamin ya Rabbal Alamin."

Comments