IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 5, 2025 at 06:15 AM
Kwa wapenzi na wanachama wa Khayrat Imani Group, Tunapokaribia kilele cha masiku haya tukufu, leo na kesho ni fursa adhimu ya kuchuma thawabu. Tunawaalika muendelee kuunga mkono shughuli na harakati za Khayrat Imani Page kwa kile chochote ambacho Mola amekujaalieni – iwe ni mchango wa hali au mali. Tuma mchango wako kupitia njia zifuatazo: 📱 M-Pesa Kenya: 0791590308 – Said Yusuf 📱 Tigo/Yas Tanzania: 0678825298 – Hafsa Saleh 📱 Airtel Tanzania: 0696925298 – Hafsa Saleh Tusaidiane katika mema, tuendelee kusambaza nuru ya Imani. Allah akubarikini na akupeni malipo mema, Aamin.

Comments