IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 13, 2025 at 03:42 AM
Tunamshukuru Allah Subhanahu Wata‘ala kwa kutujaalia uhai, afya na fursa nyingine ya kushuhudia siku hii tukufu ya Ijumaa. Ni kwa rehema na fadhila Zake pekee tumeamka salama, tukiwa na uwezo wa kutenda mema na kushiriki katika miradi ya khayr. Ewe Mola wetu, tunakuomba ukubali shukrani zetu, utuongezee kheri, utuimarishe katika dini, na utufanye kuwa miongoni mwa wale wanaoshiriki katika kueneza nuru ya elimu ya Qur’an kwa ikhlasi na uaminifu. Ameen.

Comments