
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 13, 2025 at 03:35 PM
Alhamdulillah: Hii ndiyo transparency yetu ya mchango wa leo, uliokusanywa kwa uwazi na uaminifu kutoka kwa wanachama wa Khayrat Imani Group.
Tunawashukuru kwa moyo wa kujitolea, na tunaendelea kusisitiza uwazi katika kila hatua ya michango yetu ili kila mwanachama aone na aelewe kinachoendelea.
Alhamdulillah:
KENYA -10636KSH
TANZANIA-99351TSH