
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 15, 2025 at 06:08 AM
Asalam alaykum warahmatuAllah wabarakat
Ndugu zangu wapenzi, mumeamkaje? Natumai nyote ni wazima wa afya.
Tunawakumbusha wale wote wenye nia njema kuwa fursa ya kuchangia Juzuu bado ipo wazi muda wowote.
Toa kwa ajili ya Allah na jiwekee nia ya kuchangia kila siku hata Juzuu moja tu.
Gharama si kubwa:
📍Kenya – KSh 50 tu kwa Juzuu moja
📍Tanzania – Tsh 700 tu kwa Juzuu moja
Lengo letu ni kukamilisha nakala **2000** za Juzuu – na hili linawezekana tukishirikiana kwa moyo mmoja.
Toa kwa ikhlasi na ujifunze kuwa na mkono wa kutoa, si wa kubana.
Ukifanya hivyo, utaona baraka na mafanikio katika mambo yako.
Allah huweka baraka nyingi pale penye juhudi na moyo wa kusaidia wengine.
Allah atukubalie na Atufungulie kheir. Ameen.