IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 19, 2025 at 05:50 PM
*Asalam alaykum warahmatuAllah wabarakat.* *Miradi na khayrat Imani group.* Wapenzi wa Qur’an na wafadhili wa Khayrat Imani Group, Tunapenda kuwataarifu kuwa siku ya Jumamosi au Jumapili, tutanunua nakala 300 za Juzuu kwa ajili ya kuanza kuzisambaza mashinani na mikoani, kwa lengo la kugawia madrasa zenye uhitaji mkubwa. Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila mmoja wenu anayeendelea kuwajibika na kushiriki kwa moyo mmoja katika miradi hii ya kheir. Mchango wenu unagusa maisha na kuleta nuru katika nyoyo za wanafunzi wa Qur’an. Hakika mema yote na malipo bora mtayakuta kwa Allah, Mwingi wa Rehema na Fadhila.

Comments