IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 20, 2025 at 03:53 AM
*TENGEZA HAZINA YAKO YA MILELE LEO IJUMAA -NUNUA JUZUU .* Wapenda kheir na wapenzi wa Qur’an, Leo ni Ijumaa – siku ya baraka na rehema. Alhamdulillah kwa neema ya uhai. Anza siku yako kwa kutenda jambo la kudumu: shiriki katika ununuzi wa Juzuu kwa ajili ya sadakatul-jariyah. Unaweza kununua Juzuu moja au hata zaidi kulingana na uwezo wako – kwani kila herufi itakayosomewa, thawabu zake zitakufikia kaburini mwako. Bei ya Juzuu: 📍Kenya – KSh 50 📍Tanzania – TSh 700 Usikose fursa hii adhimu ya kujitengenezea hazina ya milele. Wekeza kwa ajili ya Akhera yako leo.

Comments