IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 20, 2025 at 12:07 PM
Masha Allah! Leo tunatoa pongezi za dhati kwa wanachama wote waliotoa ushirikiano mkubwa katika mchango wa Juzuu. Hakika mmekuwa mfano wa kupenda kheri na kushiriki katika mambo ya heri kwa ajili ya radhi za Allah. Kwa wale ambao bado hawajachangia, tunawahimiza msipitwe na fursa hii tukufu ya sadaka jariyah. Hakikisha nawe jina lako linaandikwa na malaika miongoni mwa wenye kutenda mema

Comments