
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 20, 2025 at 12:12 PM
Usikose kuingiza mkono mfukoni mwako mara kwa mara ili utoe sadaka, kwani kumbuka: nguo yako ya mwisho haitakuwa na mifuko.
Toa kabla hujaondoka duniani, maana hakuna atakayeweza kutoa kwa niaba yako baada ya mauti kukufika