IMANI MAWAIDHA CHANNEL
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 20, 2025 at 05:42 PM
Ukweli mtupu. Leo hii, tunatumia muda mwingi kushika na kutumia simu zetu kuliko tunavyoshika na kusoma Misahafu majumbani mwetu na hata misikitini. Hali hii ni ishara ya kusahaulika kwa Kitabu cha Allah ambacho ndicho muongozo wetu wa maisha. Ni wakati wa kujitathmini na kurekebisha mwenendo wetu, tukirudisha heshima na uzito unaostahiki kwa Qur'an Tukufu.
🙏 ❤️ 😢 4

Comments