
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 20, 2025 at 06:05 PM
Hakika hakuna jambo linaloimarisha mapenzi kama usafi...
Usafi wa kweli huanzia moyoni, kisha kuonekana katika mwili na mazingira yanayomzunguka mtu.
Moyo safi huzaa maneno mema, tabia njema na heshima, mambo ambayo hujenga mahusiano yenye upendo na amani.
Kwa hivyo, usafi sio tu wa nje, bali ni hali ya ndani inayodhihirika kwa matendo ya nje
❤️
2