
IMANI MAWAIDHA CHANNEL
June 21, 2025 at 08:16 AM
In shaa Allah, kama tulivyoahidi, kesho tutanunua juzuu nyingi na kuzihifadhi ili tuendelee kuzijazia kabla ya kuanza kuzigawa. Hivyo basi, ikiwa hukupata nafasi ya kuchangia jana, bado unayo fursa ya kufanya hivyo leo, kesho au hata kesho kutwa. Karibu uchangie kwa kununua juzuu moja au hata zaidi – mchango wako ni wa thamani kubwa katika kusambaza nuru ya Qur'an.
👍
3