
FOOTBALL ZONE ⚽🏈
June 21, 2025 at 08:10 AM
🚨🚨 | RASMI: Nuno Espírito Santo amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu na klabu ya Nottingham Forest. 🌳✍🏻
Kocha huyo sasa ataendelea kusalia Forest hadi mwaka 2028 – hatua kubwa ya kuimarisha kikosi chao! 💪🔥
