FOOTBALL ZONE ⚽🏈
FOOTBALL ZONE ⚽🏈
June 21, 2025 at 09:29 AM
Nimepitapita Mtandaoni huko naona waandishi wengi upcoming wanatumia nguvu kubwa kuwaaminisha watu kuwa *Pacome ZouZoua* anastahili kuwa *MVP* wa ligi kuu ya *NBC🇹🇿* msimu huu mbele ya *Jean Charles Ahoua.* Ni mtazamo wao nami siwezi kuwapinga lakini guys tusisahau kuwa mpira ni numbers na sio mapenzi ya watu fulani, kwa number za *Jean Charles Ahoua🇨🇮* zinatosha kuwa anastahili kuchukua tuzo hii ya *MVP* kwa msimu huu wa 2024/2025. Kama itatokea tofauti na hapo tutajua kweli kwenye football kuna matokeo ya kikatili na upangaji wa matokeo, hii itakuwa ni njama za mpira wetu na duniani kote kama inavyofanyika kwenye *Ballon D'or.* Hujma za hali ya juu hufanyika kitu ambacho sipendi kije kitokee kwenye mpira wetu.
Image from FOOTBALL ZONE ⚽🏈: Nimepitapita Mtandaoni huko naona waandishi wengi upcoming wanatumia n...
👍 🖕 3

Comments