
FOOTBALL ZONE ⚽🏈
June 21, 2025 at 09:29 AM
"Jambo pekee ambalo naweza kukuthibitishia kuhusu Sillah (Gibril) ni kwamba hawezi kwenda Simba na Yanga. Asilimia 90% naweza kusema atabaki Azam na 10% za kwenda nje ya nchi ila sio kwenda Yanga na Simba"
.
ZAKA ZAKAZI, Afisa Habari wa klabu ya Azam.
