Prime Minister Tanzania
                                
                                    
                                        
                                    
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                June 20, 2025 at 08:14 AM
                               
                            
                        
                            *WAZIRI MKUU MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA MUM.*
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 20, 2025  amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 20 ya Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro(MUM), kwenye viwanja vya chuo hicho mkoani Morogoro.
Maadhimisho hayo ni jukwaa la kutathmini historia, changamoto, mafanikio yaliyopatikana na mchango wa chuo hicho katika maendeleo ya Taifa. 
Pia, Maadhimisho hayo yamelenga kuakisi changamoto na maendeleo ya chuo hicho katika kipindi cha  miaka 20 ya kutoa maarifa, nidhamu, na malezi bora ya vijana wa Kitanzania.
*_Habari kamili inakuja_*
                        
                    
                    
                    
                    
                    
                                    
                                        
                                            ❤️
                                        
                                    
                                        
                                            🙏
                                        
                                    
                                        
                                            🎉
                                        
                                    
                                        
                                            👍
                                        
                                    
                                    
                                        6