Prime Minister Tanzania

Prime Minister Tanzania

257.1K subscribers

Verified Channel
Prime Minister Tanzania
Prime Minister Tanzania
June 21, 2025 at 02:33 PM
*RAIS DKT. SAMIA ANATAMBUA MCHANGO WA BUNGE KWENYE KUHAMASISHA MICHEZO-MAJALIWA* WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Juni 21, 2025 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika tamasha la Grand Bunge Bonanza lililofanyika katika viwanja vya shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma. Akizungumza katika bonanza hilo, Waziri Mkuu amesema kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia anatambua na kuthamini mchango wa Bunge la Tanzania katika kuimarisha umoja, Afya na mshikamano kupitia michezo mbalimbali.
❤️ 👍 🙏 😂 13

Comments