
MMU Gossip Club
June 13, 2025 at 02:50 PM
🔥 THE GIRL OPPOSITE DOOR 🔥
EPISODE 9🔥
Akanijenga hug flani hapo ngori manze na vile alikua amebeba majegi kisubmarine karibu chuma ijae tao mzima😂. Nikatoka nikarudi nikapata nguo ni kukauka zinakauka😂. Nikaingia kwa Milly
Me : Naona umefanya kazi safi thanks😂
Milly : You are welcome.. tho nilikua nataka pia nikupanguzie viatu na hao
Me : Ni sawa😂🫴
Akajipin kwa hao akaclean na akapanguza viatu😂. Hao ikakua clean
Milly : What do you want for lunch
Me : Anything
Milly : Kuna spaghetti na nyama hapa let me prepare ikiwa ready I'll call you
Me : Poa
Nikafika kwa hao nikatulia. Faith akanitext
Faith : Yani toka mgonjwa arudi haujai enda kumuona?
Me : Alinijamia she won't talk to me
Faith : Zii imagine aliniuliza mbona huwezi ishia kumcheki.. really Carl?
Me : Nitaishia kumuona
Faith : Fanya ivo
Me : Alafu itakuaje.. huwezi niitia lunch
Faith : Aii toka lini ukaanza kukula kwangu Carl😂🤦
Me : Naweza anza leo?
Faith : Like mbona tu ukule kwangu of all the houses
Me : We unanipea lunch ama hapana
Faith : Kujia tho namalizia
Nikachomoa cd moja nikaficha kwa mfuko nikafika huko. Huyu kuna vile ameiva kisubmarine na haga alipewa kama za Millicent omanga😂💔. Nikafika huko. Alikua amedunga mini flani hivi mtoto kapewa matako ajab. Nikazispank kiasi
Faith : Carl please.. after lunch uishie
Me : Nimeboeka huko juu nikasema nifike hivi..kwa Essy naishia badae
Faith : Okay
T.B.C