Kenya Trends
Kenya Trends
June 21, 2025 at 04:51 AM
Kwetu mlikua mmetulia class kidogo kidogo mnaitwa parade shule mzima.. Ukifikiria ni kitu ya maana sana unapata ni uncle yako amekuja kuulizia kama kuna mtu ameona punda yenu yenye ilipotea days ago😂😂
😂 😁 15

Comments