
MAYOR OF EDIN 👑
June 7, 2025 at 07:51 AM
Baada ya kipindi cha muda fulani kupita bila kuweka mikeka basi kwanzia leo tunarudi kazini rasmi kabisa kwa V I P na free tips katika michezo yote yaani football tennis basketball ice hockey na hata baseball
Kwenye V I P hakuna mabadiliko tutaendelea pale pale tulipoishia kama kukiwa na mabadiliko tutajuzana
Njia za malipo zipo MBILI utaweza lipa kwa LIPA NAMBA au NAMBARI YA SIMU
USHIRIKIANO ni jambo la kheri zaidi katika wakati huu tunaouqnza tena rasmi
#hatukati_tamaa_na_wala HATUNA_TAMAA🍷