
Bet Sure Tanzania
June 15, 2025 at 09:35 AM
Tukiwa Tunajiandaa Kuisoma Sura ya Kwanza ya Kazi ya Kivuli Ndani ya Mwili
Leo tuishi na hizi odds 2 zilizotuchagulia njia ya mwanga na mafanikio.
Katika sura ya kwanza, tutachunguza maana halisi ya kivuli — kile kilichojificha ndani ya nafsi yetu, kinachoathiri kila hatua ya maisha bila sisi kufahamu. Na muhimu zaidi, tutajifunza namna ya kukiondoa mwilini mwetu.
Ukiisoma Kazi ya Kivuli kwa umakini na hisia, pesa huanza kuingia taratibu... Kwa sababu sasa hamna tena kizuizi cha ndani kilichokuwa kinazuia neema, pesa, na utulivu wa maisha yako.
Chukua muda, soma kwa roho, na ujiandae kwa mabadiliko ya kweli. 🕯️

👍
1